Saturday, 25 May 2013

YALIYOMO KATIKA ANNUR YA MEI 24

Dondoo muhimu

1. Sheikh Ilunga hajapata matibabu
    - Yupo hospitali ya Columbia Asia - Bangalore
    - Ubalozi wa India Dar waombwa kusaidia
   - Waislamu watakiwa kufanya Subra kidogo


2. Kamati ya Mzee Moyo kufanya kongamano
    - Litafanyika Bwawani kesho
   - Litafunguliwa na Maalim Seif


3. Kifo cha Marhum Ali Sykes - 1926 – 2013:
    - Bingwa wa ukombozi aondoka kimyakimya
    - Mzalendo Muasisi wa TANU
    - Aliamwandikia Kukabidhi Julius Nyerere Kadi ya TANU Na. 1


4. Tahariri: Mtwara wana hoja japo wakikosea njia


5. Wazazi Zanzibar wahimizwa kusimamia maadili ya watoto


6. Serikali chanzo cha vurugu


7. CIA: Wasyria asilimia 75 wanamkubali Rais Assad


8. Iran yanyongamajasusi waMarekani,Israel


9. Kampeni za kumchafua Sheikh Ponda zilivyoshindwa!


10. Makala: Ugaidi katika mtazamo sahihi


11. Ardhi Mafia ni almasi msiuze - Sheikh Omar
     - Azimio kujenga Markazi ya kisasa lafikiwa


12. Madaktari bingwa kutoka Kuwait watua Muhimbili

0 comments