Ghana wanmejikuta wakipangwa kundi moja timu za taifa za Ujerumani, Ureno pamoja na Marekani katika kundi la G.
Ghana ndio wanaonekani kuwekwa katika kundi gumu kwa timu zinazo wakilisha bara la Africa, ambapo linawakilishwa na Cameroon waliopo katika kundi A wakia na Brazil, Mexico na Crotia, Ivory coast waliopo katika kundi C wakiwa na Colombia, Japan na Greece.
Wakati Nigeria wakiwakwa katika kundi la F wakiwa na Argentina, Irani na Bosnia. Huku Algeria wakiwa katika kundi la H wakiwa na Belgium, Korea na Russia.
Ghana ambao walishiriki kwa mara ya kwanza michuano ya kombe la dunia katika mwaka 2006 nchini Ujerumani imekua na utamaduni wakupiga hatua kila wanapo pata fursa ya kushiriki ambapo mwaka 2006 waliondolewa mashindanoni katika hatua ya mtoano wakati mwaka 2010 wakiondolewa katika hatua ya robo fainali.
Matarajio ya Waghana wengi katika fainali za kombe la dunia mwakani ni kushuhudia timu yao ikipiga hatua nyingine kwa kutinga nusu fainali katika michuano hiyo itakayo fanyika nchini Brazil.
MAKUNDI YA KOMBE LA DUNIA YALIYO PANGWA HAPO JANA YAPO HIVI:
KUNDI A.BRAZIL
CAMERON
MEXICO
CROTIA .
KUNDI B
SPAIN
CHILE
AUSTRALIA
HOLLAND
KUNDI C
COLOMBIA
COTE DIVOR
JAPAN
GREECE
KUNDI D
URUGUAY
ITALY
COSTA RICA
ENGLAND
KUNDI E
SWEZALAND
ECUADOR
HONDURAS
FRANCE
KUNDI F
ARGENTINA
NIGERIA
IRAN
BOSNIA
HERZEGOVINA
KUNDI G
GERMANY
GHANA
USA
URENO
KUNDI H
BELGIUM
ALGERIA
KOREA REPUBLIC
RUSSIAN
0 comments