Wednesday, 8 January 2014
LIBYA, KUTUMIA SHARI ZA KIISLAM KTK MFUMO WAKIUCHUMI NA KIBANKI
Waziri wa uchumi wa Libya Mustafa Abufanas
amesema kuwa hivi sasa wataalamu wa uchumi wa Nchi yake
wanafanya mchakato wakubadilisha mfumo mzima wa uchumi na
kibank kwakuzingatia sharia za kiislam. Waziri huyo ameendelea
kusema hivi sasa dunia imeanza kufanya mabadiliko kidokidogo ya
kuelekea ktk kuzitumia sharia za kiislam kwenye masuala ya
uchumi na kibank. Hii nikutokana na ukweli kuwa sharia za
kiislam ndio suluhisho ktk masuala ya uchumi na miamala ya
kibank. ikubukwe kuwa nchi ya Libya imeshapiga hatua kubwa ktk
kupasisha sharia za kiislam kuwa ndio sharia mama za nchi
hiyo.
0 comments