Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni
Mbunge wa Singida mjini, Ndg. Mohammed Dewji ( wa pili kushoto) akiteta
jambo na baadhi ya Wajumbe wenzake wa Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma
leo wakati wa sherehe fupi za kuapishwa kwa wajumbe
hao.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni
Mbunge wa Singida mjini, Ndg. Mohammed Dewji akielekea kula kiapo cha
kulitumikia Taifa Bunge la Katiba.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Ndg.
Mohammed Dewji akila kiapo mbele ya Mwenyekiti wa Bunge Maalum la
Katiba Ndg. Samwel Sitta mjini Dodoma.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Ndg. Mohammed Dewji,
akipeana mkono na Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Ndg. Samwel
Sitta mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Ndg. Samwel
Sitta , akimkabidhi vitendea kazi Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba
Ndg. Mohammed Dewji.
Zainul A. Mzige,
Operation Manager, MO BLOG
0 comments