Bw. Olukonlade pia alisema, katika opresheni ya uokoaji, jeshi la Nigeria limekamata mtuhumiwa mmoja unaohusika na tukio hilo.
Gavana wa mkoa wa Borno Kashim Shettima alisema, wasichana 14 wametoroka baada ya kukamatwa. Mpaka sasa, kazi za uokoaji bado zinaendelea.
0 comments