Kwa kiwango cha tshs 10,000 kwa kila mwanafunzi Manispaa ilipaswa kuletewa ruzuku tshs 35m kwa mwezi. Hata hivyo Manispaa imepata tshs 25m tu. Pamoja na mapungufu hayo Shule zote nilizotembelea leo zina Kamati za Shule na Mapokeo ya Fedha yamewekwa wazi kwenye mbao za matangazo.
Hii changamoto mpya ya #Uwajibikaji
0 comments