Mkurungezi mkuu wa Tigo Tanzania Diego Gutierrez akizungumza na wanafunzi kutoka chuo kikuu cha Harvard, Marekani waliopo nchini kwa ziara ya kimasomo na walitembelea leo makao makuu ya Tigo Kijitonyama kupata taarifa za uwekezaji uliofanywa na kampuni ya Tigo katika sekta ya mawasiliano. |
0 comments