Thursday, 9 May 2013

SHEKHE PONDA APATA KIFUNGO CHA NNJE, WENZAKE 49 WAACHIWA HURU

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar Es Salaam, imemfunga kifungo cha nje cha mwaka mmoja katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda, huku washtakiwa wengine wote 49 wakiachiwa huru

0 comments