Friday, 10 May 2013

UMATI MKUBWA WAJITOKEZA KUMSHUHUDIA PONDA KATIKA MSIKITI WA MTAMBANI

Hizo ni picha za waislamu waliojitokeza katika msikiti wa Mtambani kusikiliza hotuba ya Sheikh Ponda aliyetoka jela jana.

picha hizo zimepigwa na mchina wangu wa TECNO kutokana na kutokuwa na taarifa ya tukio hilo na kwa bahati mbaya eneo nilio kuwepo ilikuwa ngumu kupata picha ya mashekhe wakitoa maneno kutokana na msikiti kujaza kupita maelezo baada ya swala ya jumaa

0 comments