Manka Mmassy, FACEBOOK
Baada ya mzee mmoja kumwandikia barua mjukuu wake, aliyekuwa gerezani.
INAYOSEMA: Mjukuu wangu,msimu huu ctoweza kupanda mahind. Kwa kuwa cna nguvu ya kulima, na wewe ambaye ungenisaidia upo gerezan.
MJUKUU AKAJIBU: Babu furahia maana zile Mil 80 nilizoiba, nimezifukia humo shamba"
POLIS walipoisoma barua ya mjukuu, ikabidi waende kulitifua shamba lote. Kumbe hakukuwa na pesa.
BABU AKATUMA BARUA NYINGINE. POLIS wakasoma inasema: ASAHNTE SANA MJUKUU WANGU. ILE MBINU YETU YA KULIMA SHAMBA IMEFANIKIWA". Polis wote wakabaki hoii..!! Chezea raia wewe..!
0 comments