Allen S Kaijage > Wapenda SOKA (Kandanda)
Mandela alikaa jela miaka 26
Man u alikaa miaka 26 bila kombe la ligi
Mwaka 1990 Mandela anakua huru
Mwaka huo huo man akachukua fa cup na hilo lilikua kombe lake la kwanza tangu mwaka 1968
Mwaka 1992 Mandela akawa rais Wa kwanza kuchaguliwa kidemokrasia SA
Man united akachukua kombe la ligi baada ya miaka 26(miaka sawa na ile ya Mandela alokaa jela)
Mwaka 2012/13
Kocha Wa man united sir Alex akastaafu baada ya misimu 26 ya mafanikio (miaka sawa na ile ya Mandela alokaa jela)
Msimu 13/14
Hali ya Mandela ikawa tete hatimaye kufariki
Msimu huohuo hali ya utd ikawa Mbaya na inaelekea kufa
RIP MANDELA
RIP MAN UNITED
0 comments