
Una ndugu au jamaa kamaliza form4 lakini hakufanya vizuri? Chuo cha Al-Maktoum kilichopo DSM, mbezi beach kinatoa nafasi za masomo kwa mwaka1 kupitia mitaala ya VETA kumwezesha kuingia certificate na diploma pindi atapohitimu. Kozi zinazotolewa ni ICT na Electrical Installation.
Ada ni Tshs. 300,000/- tu. Kwa watakaotaka hostel, malazi bila chakula ni 300,000/-.
Kwa mawasiliano zaidi piga 0713220304 au 0752592504.
Mwisho wa kupokea maombi ni 9/1/2015.
Imetolewa na msajili wa chuo,
J.I Sulayman

0 comments